karibu Makazi solution kwa mahitaji ya viwanja.

karibu Makazi solution kwa mahitaji ya viwanja.

Breaking News

Pesa sio kitu kwenye mahusiano - Jacqueline Mengi



Mke wa Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr Reginald Mengi,  Jacqueline Mengi amesema kuwa pesa sio kila kitu kwenye mapenzi maana pesa inaweza kuwepo au isiwepo.

Jacqueline amesema kuwa unapokuwa yeye anaamini kitu kikubwa unapokuwa kwenye mahusiano tafuta mtu ambaye ni rafiki kwako.

"Pesa sio kila kitu kwenye mahusiano maana Pesa inaweza kuwepo na kesho isiwepo naamini kikubwa ni unapokuwa kwenye mahusiano tafuta mtu ambaye ni rafiki kwako na mimi nasema kila siku Mume wangu ni rafiki yangu," alisema Jacqueline kwenye Mahojiano yake kwnye kipindi cha XXL ya Clouds FM

No comments